Waziri amekabidhi nyundo kwa polisi
Baada ya ajali ya hivi karibuni mkoani Tabora iliyohusisha gari la mizigo na basi, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba, ametoa agizo kwa Jeshi la Polisi ambalo litawaumiza waendesha magari wengi. Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari juu ya tamko lake, ametaka Jeshi la Polisi kuwapeleka mahakamani mara moja…