Ndugu Rais, Akwilina akatuombee busara za Kenyatta
Ndugu Rais, Mfalme Suleiman ametajwa na vizazi vingi kwa hekima kubwa aliyokuwa nayo. Mwenyezi Mungu alimwambia amwombe chochote, naye angemtimizia. Alimjibu akisema, “Ee, Mwenyezi Mungu naomba unijalie hekima!” Aliomba hekima! Hakuomba mali wala maisha marefu au nguvu ya majeshi. Na sisi tumwombe Mwenyezi Mungu atujalie hekima! Tunaposubiri uchunguzi wa mauaji ya Akwilina anayepumzika katika nyumba…