Mabula abaini uzembe ukusanyaji kodi

NA MUNIR SHEMWETA, LINDI   Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula amefanya ziara katika mikoa ya Lindi na Ruvuma kukagua mfumo wa ukusanyaji kodi ya ardhi, kuhamasishaji ulipaji kodi hiyo na kusikiliza kero za migogoro ya ardhi.   Wengine kwenye ziara hiyo walikuwa Kamishna Msaidizi wa Ardhi Kanda ya Kusini,…

Read More