Azam FC Yaendeleza Kichapo, Yaifunga Jamhuri 4-0
Azam imezidi kuonyesha dhamira ya kutetea ubingwa wao baada ya leo kuibuka na ushindi wa mabao 4-0, dhidi ya Jamhuri Kikosi cha Azam FC, kimezidi kufanya vizuri kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea hapa Zanzibar baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0, dhidi ya timu ya Jamhuri ya Pemba huo ukiwa ni mchezo…