MTIBWA VS AZAM FC NI MECHI YA KISASI

Mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara inachezwa leo Uwanja wa Manungu mjini Morogoro kwa wenyeji Mtibwa Sugar wakiikaribisha Azam FC. Tayari kikosi cha Azam kimeshawasili mjini Morogoro tangu jana kwa ajili ya mchezo huo utakaopigwa majira ya saa 8 mchana. Azam ipo nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi ikiwa imejikusanyia pointi 46 huku ikiwa…

Read More