Tag Archives: CAF

CAF YATOA ONYO MICHEZONI

NA MICHAEL SARUNGI Tatizo la rushwa kupenya katika mpira wa miguu limelitikisa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kiasi cha kuamua kufuta posho za waamuzi kulipwa na vyama na mashirikisho Afrika. Sasa posho zao zitalipwa moja kwa moja kutoka CAF kwa waamuzi watakaochezesha mechi. Wakizungumzia hali hiyo, viongozi wa mchezo huo ndani na nje ya Tanzania, wamesema kuna haja ya waamuzi kuanza ...

Read More »

CAF Kuzikagua Simba, Yanga Miundombinu Yao

Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Africa CAF litafanya ukaguzi wa mfumo wa leseni kwa vilabu vya ligi kuu hapa nchini(Club Licencing) kwenye upande wa miundo mbinu. CAF watafanya ukaguzi huo wa kutembelea na kutazama miundo mbinu ili kuhakikisha mfumo huo unatekelezeka ipasavyo kwa kuanzia na mtazamo wa vigezo vya miundo mbinu. Simba na Yanga ni kati ya timu zitakazokaguliwa. ...

Read More »

WALLACE KARIA ATEULIWA NA CAF KUWA KAMISHNA WA MECHI

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania Wallace Karia ameteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Africa CAF kuwa kamishna wa mechi Wallace Karia anatarajiwa kuwa kamishna wa mechi ya kwanza ya ufunguzi wa Fainali za Africa kwa wachezaji wa ndani CHAN kati ya Morocco na Mauritania itakayochezwa Januari 13, 2018. Mchezo huo ambao Rais Karia atausimamia akiwa ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons