HALI SI SHWALI CHADEMA, MWENYEKITI WA BAVICHA KILIMANJARO ASIMAMISHWA KAZI
Hali ni tete ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa Kilimanjaro, baada ya chama hicho kuchukua hatua ya kumsimamisha uongozi Mwenyekiti wa Baraza la Vijana, Dickson Kibona. Kibona alisimamishwa kazi Februari 28, mwaka huu, ikiwa zimepita siku 11 tangu kufanyika kwa uchaguzi wa marudio wa kiti cha ubunge Jimbo la Siha, ambalo…