Madereva wa Serikali walia
Taarifa hii ni ya Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania, inayohusu tamko la Serikali la kurejeshwa kazini kwa watumishi wa darasa la saba lililotolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora), George Mkuchika, bungeni Dodoma. Chama cha madereva kimeipokea taarifa hiyo kwa mshituko mkubwa. Chama na wanachama tulitegemea kuwa watumishi ambao…