Serikali haitafuta tozo daraja la Kigamboni
Serikali imesema kuwa haitafuta tozo inayotozwa katika daraja la Kigamboni kwa kuwa fedha hizo zinatumika kulipa sehemu ya deni la mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Juni 22,2018 na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Watu wenye ulemavu Antony Mavunde akisema kwa sasa utaratibu unaandaliwa…