DC KIGAMBONI AWAONDOLEA TAHARUKI WANANCHI WA KIBADA KUBOLEWA NYUMBA ZAO
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mh.Hashim Mgandilwa ameondoa hali ya taharuki iliyokuwa imetanda miongoni mwa wananchi wa Kata ya Kibada waliowekewa alama ya kubomoa majengo yao na wakala wa barabara (TANROADS) mbali na kununua viwanja hivyo kihalali kutoka wizara ya ardhi. Akizungumza na wananchi hao kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jana kwenye ofisi za Kata ya…