Deogratius Munishi ‘Dida’: Sina Mpango Kurudi Kucheza Soka Bongo
KIPA wa zamani wa Yanga, Deogratius Munishi ‘Dida’, ameweka wazi kuwa hana mpango wa kurejea kucheza tena nchini katika timu yoyote ya Ligi Kuu Bara ikiwemo Yanga kwa kuwa anataka kufika mbali zaidi katika upande wa soka la kulipwa. Dida ambaye anacheza katika Klabu ya Chuo Kikuu cha Pretoria ‘Tucks FC’ inayoshiriki Ligi Daraja la…