Tag Archives: Dk. John Magufuli

Rais Magufuli Amuapisha Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini

Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameamuapisha Mhe. Doto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini, Ikulu Jijini Dar es Salaam leo. Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameamuapisha Mhe. Doto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini, Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Jumatatu, Januari 8, 2018, asubuhi. Biteko akila kiapo.   Baada ya kuapishwa, Mhe. Dotto Biteko amesema; “Kwanza namshukuru ...

Read More »

Rais Magufuli Amjulia Hali Mzee Kingunge

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemjulia hali mwanasiasa mkongwe Mzee Kingunge Ngambale Mwiru aliyelazwa katika wodi ya Mwaisela, Hospitali ya Taifa Muhimbili. Mzee Kingunge anatibiwa majeraha baada ya kushambuliwa na mbwa nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam.

Read More »

KATIBU MKUU WA CUF, MAALIM SEIF AMPONGEZA RIS MAGUFULI

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, kwa kuiongoza nchi vizuri kwa mwaka uliopita wa 2017. Seif ametoa pongezi hizo katika salamu zake za mwisho wa mwaka ambapo alisema kwamba, kwa mwaka 2017, Rais Magufuli ameweza kuiongoza nchi vizuri kwa kudhibiti rushwa pamoja na ubadhirifu ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons