Fally Ipupa anatamba kwa muziki wa Kongo
NA MOSHY KIYUNGI Tabora Sifa za mwanamuziki Fally Ipupa zimeenea kila pembe kuliko na wapenzi wa muziki wa dansi. Yeye pamoja na mwenzake, Ferre Golla; wanatajwa kuelekea kuchukua nafasi za wanamuziki wakubwa waliomtangulia. Hawa ni wanamziki vijana wanaotamba katika anga ya muziki Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wanapishana kwa mwaka mmoja wa kuzaliwa – Ferre…