Tag Archives: fatuma karume

Fatuma Karume Asema TLS Hawezi Kudhibitiwa

Siku chache baada ya Rais Dkt. John Magufuli kumtaka Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, kukidhibiti Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Rais wa chama hicho, Fatma Karume ameibuka na kusema kuwa hakuna wa kukidhibuti chama hicho. Fatma ambaye alishinda urais wa chama hicho katika uchaguzi uliofanyika Aprili 14, mwaka huu akirithi nafasi hiyo kutoka kwa mtangulizi wake, Tundu Lissu, ...

Read More »

Vipaumbele vya Fatma Karume kama Rais wa TLS

Rais mpya wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Fatma Karume ametaja mambo matano ambayo atayafanyia kasi baada ya kuchaguliwa kuongoza chama hicho, Jumamosi mjini Arusha. Fatma Karume ambaye ni binti wa Rais Mstaafu wa Zanzibar amesema kuwa, ataendeleza yale yaliyofanywa na mtangulizi wake, Tundu Lissu, ikiwamo kusimamia demokrasia, haki, utawala bora, haki za wanasheria pamoja na kufanya uchunguzi ili kubaini ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons