DIAMOND NA HAMISA MOBETTO WAFIKISHANA TENA MAHAKAMANI
Mwanamuziki Diamond Platnumz na mzazi mwenzake, Hamisa Mobetto wamefika katika Mahakama ya Hakimu Makazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza shauri linalohusu matunzo ya mwanao. Novemba 10 ,2017 Hakimu Devotha Kisoka wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu upande wa Watoto alitupilia mbali kesi hiyo juu ya matunzo ya mtoto Prince Abdul. Diamond…