KUPATA HEDHI INAYODUMU HADI KWA KIPIDI CHA WIKI MOJA KUNAASHIRIA TATIZO LINALOHITAJI UANGALIZI
Ni kawaida kwa mwanamke aliyepevuka kupata hedhi ya kila mwezi katika mzunguko wake, kutokana na mabadiliko ya homoni ambapo mfuko wa uzazi unatengeneza ukuta mpya kwa ajili ya mapokezi ya utungishwaji wa mimba. Kwa kipindi hicho, mwanamke anapitia siku kadhaa za utokwaji wa damu kupitia uke. Idadi ya siku hizi imetofautiana kati ya mwanamke mmoja…