BURIANI GWIJI WA MUZIKI WA JAZZ HUGH MASEKELA
Na Moshy Kiyungi Tabora Mwanamuziki mashuhuri wa kimataifa wa Afrika Kusini, Hugh Masekela, amefariki dunia Januari 24, 2018 jijini Johannesburg, Afrika Kusini akiwa na umri wa miaka 78. Chanzo cha kifo chake ni ugonjwa wa tezi dume alioupata miaka kadhaa iliyopita. Bendi yake ilitoa taarifa ikisema, Masekela amekuwa akiuguza ugonjwa huo tangu mwaka 2008. Machi…