Kalanga amalizana na CCM, aisubiri Chadema
Hatimaye maandamano ya wana-CCM wilayani Monduli kupinga Julius Kalanga kuwa mgombea pekee wa ubunge kupitia chama hicho yamegonga mwamba baada ya kada huyo kujitokeza peke yake kuchukua na kurejesha fomu ya kuomba kuteuliwa kuwania nafasi hiyo. Kalanga aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya Chadema kabla ya kujiuzulu na kujiunga na CCM, iwapo atapitishwa…