Mtatiro amewahi kuisema hivi CCM

Maneno haya yaliandikwa Desemba, 2017 na Naibu Katibu Mkuu wa CUF (Bara), Julius Mtatiro ambaye wiki iliyopita ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga CCM. Chini ya kichwa cha habari “Comrade Samson Mwigamba amenigutusha kitandani, Mtatiro alilaani uamuzi wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Samson Mwigamba kujiunga CCM. Tunawaletea neno kwa neno kama alivyoandika Mtatiro mwenyewe….

Read More