Diamond Ampa Hongera AliKiba

Mwanamuziki Naseeb Abdul, maarufu Diamond Platnumz amemtumia salamu za pongezi mwanamuziki mwenzake, Ali Saleh Kiba maarufu Alikiba kufuatia kufunga ndoa leo Aprili 19. Kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema kuwa anampongeza King Kiba kwa kuoa na kumtakia maisha mema ya ndoa. “Wadau Nimeambiwa King Kiba kaoa leo…Mfikishieni Salam zangu, za Ndoa njema, na Maisha yenye…

Read More