Picha za Mazishi ya Mama Kibatala Morogoro

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe akiweka shada la Maua kwenye kaburi la Marehemu Anastanzia Mayunga ambaye ni Mama wa Peter Kibatala aliyefariki tarehe 11/1/2018 na kuzikwa kwenye makuburi ya Kakola, Mkoani Morogoro.   Makamu Mkt CHADEMA Bara Prof Abdallah Safari akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Anastanzia Mayunga mama mzazi wa Wakili…

Read More