Miaka 61 Uhuru wa Ghana: Tunajifunza?
Hotuba ya rais wa kwanza wa Ghana, Kwame Nkrumah siku ya uhuru wa nchi yake Machi 6, 1957 ilikuwa na ujumbe mmoja mzito: Uhuru wa Ghana hautakuwa na maana yoyote iwapo nchi nyingine za Afrika zitabaki chini ya utawala wa kikoloni. Aliona jukumu la Ghana ni kusaidia kulikomboa Bara la Afrika kupata uhuru kamili. Miaka…