Waziri Lukuvi Nisaidie

Mimi ni Mtanzania ambaye kwa sasa nipo nchini Marekani nikijiendeleza  na kufanya shughuli mbalimbali kwa ajili ya kujikimu kimaisha. Mwaka 2008 nilikuja nyumbani (Tanzania) na kuelekea mkoani Mbeya kutafuta kiwanja cha makazi. Nilifanikiwa kupata kiwanja na kukabidhiwa hati miliki namba 12477 iliyotolewa Julai 10, 2008 na Msajili wa Hati Mbeya. Mwaka jana nilirudi tena hapa…

Read More