MAFANIKIO YANA SABABU YOYOTE (7)
Na Padre Dkt. Faustin Kamugisha Mtazamo chanya ni sababu ya mafanikio. Mtazamo chanya unakufanya uyaone matatizo kuwa ni baraka katika sura ya balaa. Mtazamo chanya unakufanya kuhesabu siku zako kwa saa za furaha na si kwa saa za karaha. Mwenye mtazamo chanya akijikuta katika maji anaamua kuoga. Washindi wengi wana mtazamo chanya. Kuna aliyesema “Mshindi…