Tag Archives: mahakam ya kisutu

PROF ABDALLAH SAFFARI: Haja ya Kuwa na Mahakama ya Juu Tanzania

Tarehe 9 Desemba mpiga solo mahiri Tanzania kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Nguza Viking, kwa lakabu ya muziki, Big Sound alitoka Gereza la Ukonga, Dar es Salaam ambako alikuwa akitumikia kifungo cha maisha. Aliachiwa baada ya kunufaika na msamaha wa Rais John Magufuli alioutoa kwa baadhi ya wafungwa wapatao elfu nane katika hotuba aliyoitoa mjini Dodoma kusherekea siku ...

Read More »

MAHAKAMA YA KISUTU YAAGIZA UPELELEZI KUKAMILIKA HARAKA KESI YA DR TENGA

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa mashtaka kuhakikisha unakamilisha upelelezi wa kesi inayowakabili vigogo wa kampuni ya mawasiliano ya Six Telecoms, akiwemo Wakili maarufu Dk.Ringo Tenga. Mbali na Dk. Tenga, washtakiwa wengine ni mfanyabiashara Peter Noni, Mhandisi na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo, Hafidhi Shamte, Mkuu wa fedha wa kampuni hiyo, Noel Odeny Chacha Hakimu Mkazi Mkuu, Victoria ...

Read More »

Vigogo wa Kampuni ya Six Telecoms Waendelea Kusota Rumande

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetaja tarehe nyingine ya kuendelea na kesi ya uhujumu uchumi na kusababisha hasara ya USD 3.7 milioni ambayo ni sawa na bilioni nane inayowakabili vigogo wanne wa Kampuni ya Six Telecoms Limited na kampuni yenyewe. Hatua hiyo imekuja baada ya wakili wa upande wamashitaka, Jackline Nyantori kuieleza mahakama kuwa, upelelezi dhidi ya kesi hiyo bado ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons