MAMBOSASA: MWENYE TAARIFA YA MASUDI KIPANYA KUKAMATWA ATUAMBIE KITUO GANI KAKAMATWA

Majira ya jioni leo Januari Mosi 2018 zimesambaa taarifa kupitia mitandao ya kijamii kwamba, mchora katuni maarufu Tanzania, Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kufanya uchochezi. Taarifa hizo zinadai kuwa, Masoud Kipanya ambaye pia ni mtangazaji wa Clouds FM, amekamatwa na Polisi baada ya kuchora katuni ambayo inajenga uhasama kati ya…

Read More

Majambazi Watatu Wauawa na Kupatikana kwa Silaha Ak.47

  Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dsm mnamo tarehe 28/11/2017 na tarehe 30/11/2017 askari walifanya oparesheni maalum ambayo ilifanikisha kukamatwa kwa watuhumiwa watatu ambao wanajihusisha na matukio ya uporaji na mauaji mbalimbali katika jiji la Dar es salaam. Baada ya mahojiano watuhumiwa hao walikubali kuonyesha silaha moja aina ya AK.47, Magazine mbili (2) na risasi…

Read More