TAHLISO YATOA TAMKO KUHUSU WANAFUNZI WANAOTAKA MWIGULU AJIUZULU KWA KIFO CHA AKWILINA.
Mwenyekiti wa Tahlisi George Albert Mnali wa pili kutoka kulia akizungumza na baraza Kuu la Senate leo kushoto ni Katibu Mkuu wa Tahliso John Mboya kulia ni Katibu wa Baraza hilo Faidhaa Msangi na kulia ni Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Rais wa Chuo cha Zanzibar University JUMUIYA YA TAASISI ZA VYUO VYA ELIMU…