Ujue kwa Undani Ugonjwa Uliomuua Agness Maogange
Taarifa tulizopokea leo ni kuwa aliyekuwa video vixen Agnes Gerald maarufu Masogange amefariki dunia mchana wa leo. Wakili wa mlimbwende huyo, Roben Simwanza amethibitisha kutokea kwa kifo hicho majira ya saa 10 jioni leo Ijumaa April 20, 2018. Semwanza amesema kuwa Masogange alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mama Ngoma iliyoko Mwenge, Wilaya ya Kinondoni,…