Tag Archives: mauaji

Volkano Nchini Guatemala Yaua Watu Saba

Serikali ya Guatemala imesema kuwa majivu ya volkano kutoka mlima mmoja unaoendelea kulipuka, yamesababisha vifo vya watu saba na kuwajeruhi wengine ishirini. Shirika la kukabiliana na majanga nchini Guatemala limesema kuwa mlima Fuego ulilipuka siku ya jumapili, huku majivu hayo yakirushwa hadi kijiji cha El Rodeo na kusababisha uharibifu mkubwa wa makaazi ya watu. Baadhi yao waliteketea ndani ya nyumba ...

Read More »

Watu 10 wauawa kwa kugongwa na gari la mizigo Canada

Watu tisa wameuawa mjini Toronto, nchini Canada baada kugongwa na gari la mizigo ambalo lilielekea katika mtaa wenye watu wengi. Wengine 16 wamejeruhiwa pia. Mashuhuda wanasema kuwa dereva huyo aliendelea kuliendesha gari takribani umbali wa kilomita moja hivi. Diego de Matos yeye alikuwa akiendesha gari lake karibu na eneo hilo,ameiambia BBC kuwa aliona watu wawili wakigongwa na gari hilo la ...

Read More »

Aua watoto wake kwa kuwachinja, adai bado hajamaliza kazi

Watoto mapacha Nyakato (mvulana) na Nyangoma (msichana) wakazi wa Kijiji cha Butahyaibeba wilayani Bukoba wenye umri kati ya miaka minne na mitano wameuawa kwa kuchinjwa na mtu aliyedaiwa kuwa ni baba yao mzazi usiku wa kuamkia jana. Mwenyekiti wa Kitongoji cha Bulambizi, dickson Barongo ambako mauaji hayo yametokea, alieleza kuwa watoto hao walichinjwa na kutenganishwa vichwa na viwiliwili. “Nilikuwa wa ...

Read More »

Watu 37 wafariki katika mkasa wa moto jumba la Kemerovo, Urusi

Watu 37 wamethibitishwa kufariki baada ya moto kuzuka katika jumba moja kubwa la kibiashara katika mji maarufu kwa uchimbaji wa mkaa wa mawe wa Kemerovo, eneo la Siberia nchini urusi. Watu zaidi ya 64 hawajulikani walipo, wakiwemo watoto 41. Baadhi ya maeneo ya jumba hilo kubwa yanadaiwa kuwa kwenye hatari ya kuporomoka. Moto huo ulianza katika ghorofa ya juu katika ...

Read More »

WATU ZAIDI YA 20 WAUAWA KATIKA SHAMBULIO LA ANGA NCHINI SYRIA

Takriban watu 23 wameuawa hadi sasa katika mashambulio ya anga ya vikosi vya serikali nchini  Syria katika eneo la mashariki mwa Ghota karibu na mji wa Damascus, kuna kodaiwa kuwa ni ngome ya waasi. Waangalizi wa haki za binadamu kutoka Uingereza waliopo katika maeneo hayo wameelezea hali hiyo na madhara kwa watu kutokana na mashambulio hayo. Umoja wa mataifa umetoa ...

Read More »

MAPIGANO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI YASABABISHA VIFO VYA WATU 80 NIGERIA

Takribani watu 80 wameuawa nchini Nigeria katika jimbo la Benue tangu kuanza kwa mwaka huu mpya. Hiyo ni kwa mujibu wa ofisa wa wakala wa dharura. Mapigano kati ya wafugaji wa jamii ya Fulani na wakulima yamekuwa yakiongezeka tangu mwaka ulipita yaani 2017 na huku maafisa wanasema mashambulizi bado yanaendelea. Milipuko ya vurugu imekuwa ikitokea katika eneo la kati la ...

Read More »

Mauaji Yaongezeka Yemen

Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umeua raia 109 katika mashambulizi tofauti ya ndege katika kipindi cha siku 10, wakiwemo watu 14  wa familia moja na kuacha simanzi kubwa katika familia hiyo. Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen Jamie McGoldrick amesema mapigano yanayoendelea nchini humo ni ya hatari na kuhuzunisha kiasi cha kuhitaji msaada kutoka jumuiya za ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons