MSIBA WA GWAJIMA WAWAKUTANISHA MEMBE NA LOWASSA
Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa akiteta na Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani, Bernard Membe walipokutana leo katika msiba wa mama mzazi wa Askofu Josephat Gwajima nyumbani kwake Salasala, Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Vunjo, James Mbatia; Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema, Bernard…