WAZIRI NDALICHAKO: WADAIWA WOTE WA MIKOPO YA ELIMU YA JUU LAZIMA WALIPE
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako amewataka wote wanaodaiwa mikopo ya Elimu ya Juu kuirejesha mikopo hiyo mara moja pasipo kungoja kuchukuliwa hatua za kisheria. Katika mahojiano aliyoyafanya na Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Waziri Ndalichako alisema kuwa kil aliyepata mkopo wa Elimu ya Juu ana wajibu wa kuulipa ili…