MOROCCO YAJITOSA KOMBE LA DUNIA 2026 

NA MTANDAO Morocco imewasilisha rasmi maombi ya kuwa mwenyeji wa michuano ya Kombe la Dunia yanayotarajiwa kufanyika mwaka 2026, huku tayari ikiwa imezindua kampeni ya kuandaa michuano hiyo. Ikumbukwe kuwa hiyo haitakuwa mara ya kwanza kwa taifa hilo la Afrika Kaskazini kuomba kuwa mwenyeji wa mashindano hayo makubwa; kwa mara ya kwanza liliwasilisha maombi yake…

Read More