MTWAREFA YAOMBA RADHI WADAU WA SOKA-MTWARA.
Kutokana na Kamati ya Maadili Kuwakuta na Hatia Viongozi wawili Wa Shirikisho la Soka TFF akiwemo Msimamizi wa Mchezo Mkoa wa Mtwara Dastan Mkundi pamoja na katibu Mku wa Chama Hicho Mkoa wa Mtwara Kizito Mbano Mwenyekiti wa soko Mkoa wa Mtwara Athman Kambi amewaomba radhi Mashabiki wa soka Mkoa wa Mtwara kwa Kashfa Hiyo….