MULTICHOICE YAZINDUA RASMI KITUO CHA MAFUNZO YA UANDAAJI FILAMU AFRIKA MASHARIKI
MultiChoice Africa imezindua rasmi kituo cha mafunzo ya uandaaji wa filamu katika ukanda wa Afrika Mashariki . Sherehe za uzinduzi huo zimefanyika mjini Nairobi nchini Kenya katika makao makuu ya ofisi ya MultiChoice na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa tasnia ya filamu pamoja na wawakilishi mbalimbali wa serikali kutoka katika nchi za ukanda wa Afrika…