Mfalme wa Mchezo wa Tennis abeza mfumo wa seti tano kwa wachezaji
Mfalme wa zamani wa mchezo wa Tenisi mwanamke Billie Jean King amependekeza kuwa mfumo wa kucheza seti tano kwa wanaume michuano ya Gland slam usitumike katika mchezo wa mwisho. Mchezaji huyo wa zamani ambaye alishinda mataji 12 ya Gland yakiwemo sita ya Wimbledon, amesema mfumo huo kwa upande wa wanaume umekuwa ukichukua muda mwingi kucheza…