TUNDU LISSU ANENA HAYA BAADA YA LOWASSA KUTINGA IKULU

Baada ya Lowassa kufika Ikulu kumtembelea Rais Magufuli, Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amezungumzia kitendo kilichotokea kwa Mh. Lowasa kwenda Ikulu bila makubaliano ya chama(CHADEMA) Nanukuu kutoka kwenye page yake ya Instagram “Naomba na mimi niseme kwa uchache kuhusu suala la Mheshimiwa Lowasa. Baada ya Mwenyekiti kuzungumzia jambo hili, inaelekea kuwa wazi kwamba Mheshimiwa…

Read More

Lissu Apanda Ndege, Apelekwa Ubelgiji

Ndugu, jamaa, marafiki na wabunge wakimuaga Lissu hospitalini hapo kabla ya kuepelekwa Ubelgiji. MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema) na Rais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), Tundu Antipas Lissu ameondoka kutoka katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya leo Jumamosi saa 2:30 asubuhi na kwenda nchini Ubelgiji kwa matibabu zaidi. Lissu amepelekwa na Ndege ya…

Read More

TUNDU LISSU: JAMII YA KIMATAIFA INGILIENI KATI JAMAANI

Mbunge wa Singida Mashariki wa Chadema, Tundu Lissu amesema dalili zinaonesha watu waliomshambulia kwa risasi mjini Dodoma mwaka jana walikuwa na uhusiano na serikali. Lissu, akihutubia wanahabari kwa mara ya kwanza tangu kulazwa hospitalini, ameonekana kuilaumu serikali ya Rais John Magufuli kwa kuwakandamiza wapinzani. Amesema anaamini shambulio dhidi yake lililenga kumnyamazisha kutokana na uokosoaji wake…

Read More