Huduma za Mwendokasi ziboreshwe

DAR ES SALAAM ALEX KAZENGA Watanzania tulio wengi tu wazuri kuzungumza, lakini kwenye kutenda baso tunasuasua. Linapokuja suala la kutenda mipango tunayozungumza huwa tunakwama-kwama. Sijajua nini tatizo na kwanini tuwe kwenye hali hiyo au kwanini hatupati suluhisho la kudumu. Nikiutazama mradi wa Mabasi ya Mwendokasi (BRT) unaosimamiwa na UDART katika Jiji la Dar es Salaam,…

Read More

SERIKALI YAKUSUDIA KUTAFUTA MBIA MWINGINE MRADI WA UDART

SERIKALI imesema inakusudia kuongeza mtoa huduma mwingine katika uendeshaji wa  Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) ambayeataingiza mabasi yake na kutathmini ufanisi wa mbia wa sasa ili kuimarisha huduma ya usafiri Jijini Dar es salaam .   Amesema iwapo itabainika kwamba mwendeshaji wa sasa  ana matatizo yaliyokithiri, Serikali haitasita kumuondoa na kumpa mwendeshaji mwingine kwa lengo la kuhakikisha…

Read More