Tetesi za Usajili

Kiungo wa kati wa Arsenal Jack Wilshere, 26, anatarajiwa kukamilisha uhamisho wake katika klabu ya Uturuki ya Fenerbahce siku ya Jumatatu. (Sabah – via Talksport) Chelsea inakaribia kuipiku Real Madrid katika kumsajili kipa wa Roma Alisson katika mkataba ambao unaomthamini mchezaji huyo wa Brazil mwenye umri wa miaka 25 kuwa na thamani ya £62m. (Marca…

Read More