Wafaulu bila kujua kusoma wala kuandika

Na Alex Kazenga MVOMERO Wakati matokeo ya darasa la saba kwa mwaka jana nchini yakionesha ufaulu kuongezeka kwa asilimia 72.76 ikilinganishwa na 70.36 ya mwaka 2016, imebainika kuwapo waliofaulu bila kujua kusoma wala kuandika. Uwepo wa hali hiyo ya watoto kufaulu bila kujua kusoma wala kuandika, imebainika hivi karibuni kupitia uchunguzi uliofanywa na JAMHURI katika…

Read More

ONGEZEKO LA UFAULU DARASA LA SABA LABEBA WASIOJUA KUSOMA, KUANDIKA

Na Alex Kazenga MVOMERO Wakati matokeo ya darasa la saba kwa mwaka jana nchini yakionesha ufaulu kuongezeka kwa asilimia 72.76 ikilinganishwa na 70.36 ya mwaka 2016, kubainika kwa waliofaulu bila kujua kusoma wala kuandika. Uwepo wa hali hiyo, ya watoto kufaulu bila kujua kusoma wala kuandika umebainika hivi karibuni kupitia uchunguzi uliofanywa na JAMHURI katika…

Read More

UAMUZI HUU WA SERIKALI UTAINYONGA ELIMU YETU

Na ATHUMANI KANJU Hivi karibuni, Serikali kupitia Kamishna wa Elimu, Dk Edicome Shirima, ilitoa taarifa kwa umma ikizitaka shule binafsi kuwarejesha mara moja katika madarasa yao wanafunzi waliokaririshwa madarasa ama kuhamishiwa shule nyingine kwa kigezo cha kushindwa kufikia wastani uliowekwa na shule husika hadi kufikia tarehe 20 mwezi huu. Taarifa hiyo inaeleza kwamba kitendo cha…

Read More