Wanajeshi zaidi ya 12 wa Tanzania Wauawa DRC Congo
Umoja wa Mataifa umethibitisha kwamba walinda amani 14 wa muungano huo waliuawa na wengine 53 kujeruhiwa baada ya kambi yao kuvamiwa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema kati ya waliouawa, angalau wanajeshi 12 walitoka Tanzania. Katibu mkuu huyo ameshutumu vikali shambulio hilo na kusema ni…