Watoto wanahitaji ulinzi wetu
Na Alex kazenga. Wiki iliyopita mitandao yakijamii ilitawaliwa na video fupi ikimuonyesha mtoto mdogo mwenye umri kati ya miaka 5 akielezea jinsi alivyo toa taarifa kituo cha polisi na kufanikiwa kumzuia baba yake kuuza shamba la familia. Video hiyo fupi iliyorekodiwa kwa kutumia simu iliwavutia watu wengi, huku wengi wakistaajabu uwezo wa mtoto huyo kufanya…