Waziri akanusha ripoti kuwa Kenya haina fedha
Waziri wa Fedha Kenya Henry Rotich amesema Alhamisi kuwa ripoti zinazodai kuwa serikali ya nchi hiyo haina fedha ni “habari feki” na kuwa serikali kawaida haziwezi kukosa fedha. Ameongeza kuwa shilingi bilioni 200 zilizotolewa hivi karibuni na Eurobond zitaweza kukidhi mahitaji ya taifa hilo. Amesema ripoti hizo zinamakosa kwa kusema serikali haina fedha, limeripoti gazeti…