Mafuta yapatiwe jawabu la kudumu
Mjadala unaohusu mafuta ya kula ya mawese yanayoingizwa nchini kutoka Indonesia na Malaysia, umechusha. Kila mwaka kelele kwenye biashara hii imekuwa jambo la kawaida-mvutano ukiwa Serikali kwa upande mmoja dhidi ya wafanyabiashara kwa upande mwingine. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mara kadhaa imesema mafuta ya mawese yanayoletwa kutoka katika mataifa hayo si ghafi, lakini wafanyabiashara…