Mwongozo wa adhabu kwa wanafunzi
Katibu Ofisi ya Rais, Tume ya Utumishi wa Walimu, Winifrida Rutaindurwa ametoa onyo kwa Walimu wanaowaadhibu wanafunzi bila kuzingatia Sheria Kanuni na Taratibu zinazotoa mwongozo wa aina, kiwango na namna adhabu inavyotakiwa kutolewa kwa wanafunzi. Amesema kuwa kutoa adhabu ya viboko kwa wanafunzi bila kuzingatia taratibu zinazohusika sio tu kwamba inaleta athari kwa wanafunzi wanaoadhibiwa,…