Tag Archives: yanga sc

Yanga Kucheza na Timu ya Mchangni leo

Baada ya siku takribani tano kupita tangu kikosi cha Yanga kiweke kambi mjini Morogoro, imeelezwa Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera ameomba mechi moja kukipima kikosi chake. Taarifa kutoka Morogoro zinasema Zahera ameomba apatiwe timu moja ambayo haishiriki Ligi Kuu Bara ili aweze kukipima vizuri kikosi chake kabla ya kufikia hatua ya kucheza na timu za daraja la juu. Taarifa zinaeleza Yanga ...

Read More »

BAADA YA MKWASA NA SANGA KUACHIA NGAZI, UONGOZI YANGA WATOA TAMKO JUU YA WATAKAORITHI NAFASI ZAO

Baada ya viongozi wa Yanga kuzidi kuachia ngazi akiwemo Kaimu Mwenyekiti wa klabu hiyo jana, Clement Sanga kutangaza kujiuzulu wadhifa wake, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili, Hussein Nyika, ameitisha kikao na wahabari leo. Nyika ameitisha kikao hicho kuzungumzia mustakabali mzima wa Yanga juu ya kujaza nafasi za viongozi wake walioachia ngazi namna utakavyokuwa. Ikumbukwe Yanga imekuwa haina Mwenyekiti kwa muda ...

Read More »

Yanga Sc Dimbani Leo Dhidi ya Gor Mahia ya Kenya

Yanga Sc leo inashuka dimbani kupambana na Gor Mahia ya Kenya katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa majira ya saa moja jioni jijini Nairobi, Kenya Tutarajie matokeo ya aina gani kwenye mchezo huo

Read More »

REKODI YA YANGA SC TANGU AONDOKE LWANDAMINA

Hapa nimekuwekea michezo na Matokeo yote waliyoyapa yanga baada ya Kuondoka kocha wao  Lwandamina   Aprili 11, 2018; Yanga 1-1 Singida United (Ligi Kuu Dar es Salaam) Aprili 18, 2018; Welayta Dicha 1-0 Yanga SC (Kombe la Shirikisho) Aprili 22, 2018; Mbeya City 1-1 Yanga SC (Ligi Kuu Mbeya) Aprili 29, 2018; Simba 1 – 0 Yanga SC (Ligi Kuu ...

Read More »

Mzee Yahaya Akilimali Atangaza nia ya Kuwania Uwenyekiti wa Klabu ya Yanga

Mzee Yahaya Akilimali leo asubuhi ametanganza nia ya kugombea Uwenyekiti wa Timu ya Yanga mwaka huu Amesema hayo baada yeye mwenyewe kukili kwamba ndani ya klabu ya Yanga kuna matatizo hivyo yeye ndio mtu sahii kuinusuru Yanga sc kwa sasa. Alienda mbali Zaidi na kusema ukiona Mbwa anabweka ujue mwenye Mbwa yupo jirani na huyo Mbwa. Wengi wanbeza kauli yake ...

Read More »

YANGA YASHINDWA KUTAMBA NYUMBANI, YATOKA SARE NA RAYON SPORTS

Timu ya Yanga imeshinwa kuutumia vema uwanja wake wa nyumbani kwenye michuano ya Kombe la shirikisho barani Afrika,  baada ya kutoka sare tasa ya bila kufungana na Rayon Sports ya Rwanda Katika mchezo huo ambao ulipigwa kwenye dimba la Taifa, Yanga watajiraumu wenyewe baada ya kukosa nafasi nyingi za wazi. Kwa upande wa Rayon Sports wamepoteza nafasi mbili ambazo walifunga ...

Read More »

Yanga Yapania Kushinda Mechi zote Zilizobakia

Baada ya kusalimu amri kwa kuipa nafasi Simba ya kuutwaa ubingwa wa ligi msimu huu, Yanga wamesema watapambana kushinda mechi zote zilizosalia. Kupitia kwa Afisa wa Habari wa Yanga, Dismas Ten, ameeleza kuwa Yanga inahitaji heshima ya kushinda mechi zote zilizosalia ili kulinda heshima yao. Ten anaamini ushindi wa mechi zilizosalia utathibitisha kuwa wao ndiyo mabingwa wa taji la ligi ...

Read More »

KUNDI LA YANGA KOMBE LA CAF NI LA VIBONDE TUPU

Kufuatia droo ya timu zitakazokutana katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kufanyika jana, uongozi Yanga wafurahia kupangwa na timu za ukanda wa Afrika Mashariki. Ukiachana na USM Alger inayotokea Algeria, Yanga imepangwa na timu za Rayon Sports kutoka Rwanda pamoja na Gor Mahia FC ya Kenya. Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano kutoka klabu hiyo, Hussein Nyika, ameeleza ...

Read More »

YANGA YAJIANDAA KUIADHIBU MBEYA CITY KESHO

Kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City kikiwa mjini Mbeya leo. Tayari kikosi hicho kimeshaondoka jijini Dar es Salaam kuelekea Mbeya kwa usafiri wa ndege ambapo kesho kitakuwa na kibarua hicho. Yanga inacheza na Mbeya ikiwa ina siku moja tangu irejee nchini ikitokea Ethiopia kwa ajili ya mchezo wa Kombe ...

Read More »

YANGA SC KUWA KWENYE KUNDI GANI? ITAJULIKANA LEO

Droo ya upangaji wa timu zitakazokutana hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika inatarajia kufanyika Jumamosi ya leo Aprili 21 2018. Jumla ya timu 16 zimeshatinga kuingia hatua hiyo baada ya michezo 16 kupigwa ndani ya wiki hii. Yanga kutoka Tanzania ni timu pekee inayotuwakilisha kimataifa nayo imetinga hatua hiyo baada ya kuiondoa Wolaita Dicha SC kutoka Ethiopia kwa ...

Read More »

YANGA WAPO FITI KUWATUPA NJE YA MASHINDANO WAITHIOPIA LEO

Mmoja wa viongozi wa Yanga nchini Ethiopia, Hamad Islam, amesema kwamba; “Wachezaji wanafanya mazoezi mara mbili kwa siku na tuko tayari kwa mchezo. Hali ya hewa ni nzuri siyo baridi kali sana, inafanana na ya Dar ilivyo kwa sasa, mechi ni saa 10 jioni.”   “Tuombeane kwani Yanga imebeba bendera ya nchi kwa sasa, tunataka tuhakikishe tunapata bao, hatujaja hapa ...

Read More »

YANGA YAPOKEA KIPIGO CHA 1-2 TAIFA, DHIDI TOWNSHIP ROLLERS YA BOTSWANA

Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga dhidi ya Township Rollers ya Botswana, umemalizika katika Uwanja wa Taifa kwa wenyeji kupoteza kwa jumla ya mabao 2-1. Katika dakika 45 za kipindi cha kwanza, Township Rollers ndiyo waliokuwa wa kwanza kupata bao la kwanza mapema kabisa kwenye dakika ya 11 kupitia kwa Lemponye. Baada ya bao hilo la kuongoza ...

Read More »

YANGA YAIFUATA MAJIMAJI, SONGEA KUCHEZA MCHEZO WAO WA 16 BORA KOMBE LA FA KESHO JUMAPILI

  Kikosi cha Yanga leo kinatarajia kusafiri kuelekea Mkoani Songea kucheza na Majimaji katika mechi yao ya kesho Jumapili ya 16 Bora ya Kombe la FA. Yanga inakwenda Songea ikiwa ni siku moja tu tangu iliporejea kutoka Victoria, Shelisheli ambako ilikwenda kucheza na St Louis mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambako walitoka sare ya bao 1-1. Hata hivyo, Yanga ...

Read More »

MZEE AKILIMALI ALITOLEA UVIVU BENCHI LA YANGA SC, CHIRWA KUKOSA PENATI MFULULIZO

KATIBU wa Baraza la Wazee wa Yanga, Mzee Ibrahim Ak­ilimali, amelitaka benchi la ufundi la timu hiyo linaloongozwa na Mzam­bia, George Lwandamina, kuhakikisha wanatafuta mbadala wa mchezaji atakayekuwa anapiga pen­alti badala ya Mzambia, Obrey Chirwa. Mzee Akilimali ameyasema hayo kufuatia mshambuliaji huyo kuwa na mfululizo wa kukosa penalti ambapo juzi Jumamosi alikosa tena wakati Yanga iliposhinda bao 1-0 dhidi ya ...

Read More »

YANGA KUANZA MBIO ZA KLABU BINGWA AFRIKA LEO TAIFA

Yanga SC leo wanatupa kete yao ya kwanza katika michuano ya Ligi Mabingwa Afrika watakapomenyana na Saint Louis Suns United ya Shelisheli katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mchezo huo unatarajia kuwa mwepesi kwa upande wa Yanga kutokana na timu ya St Louis haina uzoefu wowote katika michezo ya ...

Read More »

YANGA KUKWEA PIPA ALFAJIRI KESHO KUWAHI MECHI SAA 10 JIONI

  KIKOSI cha Yanga kesho kinatarajia kukwea pipa alfajiri na mapema ili kuwahi mechi yao  dhidi ya Ihefu ikiwa ni mchezo wa kombe la Azam Sports HD  utakaopigwa kwenye Uwanja wa Sokoine  Jijini Mbeya majira ya saa 10 jioni siku hiyo hiyo. Timu ya Ihefu inayoshiriki ligi darala la pili ilifanikiwa kuwaondoa timu ya Mbeya City katika mchezo wao wa ...

Read More »

CAF Kuzikagua Simba, Yanga Miundombinu Yao

Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Africa CAF litafanya ukaguzi wa mfumo wa leseni kwa vilabu vya ligi kuu hapa nchini(Club Licencing) kwenye upande wa miundo mbinu. CAF watafanya ukaguzi huo wa kutembelea na kutazama miundo mbinu ili kuhakikisha mfumo huo unatekelezeka ipasavyo kwa kuanzia na mtazamo wa vigezo vya miundo mbinu. Simba na Yanga ni kati ya timu zitakazokaguliwa. ...

Read More »

KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOIVAA MWADUI LEO HIKI HAPA

Mabingwa wa tetezi wa ligi kuu soka Tanzania Bara klabu ya Yanga hii leo inatarajia kushuka dimbani tayari kuivaa timu ya Mwadui FC katika mechi ya Vpl itakayo chezwa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Kuelekea katika mchezo huo Yanga SC imeanika wachezaji wake huku akiwemo mshambuliaji Amis Tambwe ambaye amekosekana katika kikosi cha timu hiyo kwa muda mrefu kutokana ...

Read More »

MZEE AKILIMALI:NITAPINGA YANGA KUMILIKIWA NA MTU MMOJA HADI KABURINI

Mwanachama mkongwe wa klabu ya Yanga, Ibrahim Akilimali, amesema kuwa ataendelea kupinga suala la ukodishwaji wa klabu hiyo hadi atakapoingia kaburini. Mzee Akilimali amedai kuwa amekuwa na bahati mbaya kwa baadhi ya wanachama na viongozi wa Klabu ya Yanga kutokana na kupinga suala la Yanga kumilikiwa na mtu mmoja . “Nimekuwa na bahati mbaya kwa baadhi ya wanachama na viongozi, ...

Read More »

YANGA USO KWA USO NA URA NUSU FAINAL YA KOMBE LA MAPINDUZI

Kufuatia matokeo ya jana kuanzia mchezo wa mapema uliowakutanisha Simba na URA, na kushuhudia Simba kipandishwa boti kurudi Dar es Salaam kwa kufungwa bao 1-0, na kuifanya URA kufika point 10 na kuongoza kundi A huku Azam ikishika nafasi ya pili kwa kufikisha Point 9. Yanga nao wemeshindwa kuwafunga Singida United baada ya kutoka nayo sare kwa kufungana bao 1-1, ...

Read More »

SINGIDA UNITED YAIDHIBITI YANGA KOMBE LA MAPINDUZI

Makocha wa timu za Yanga na Singida United wametunziana heshima baada ya timu zao kumaliza dakika 90 zikitoka sare ya 1-1 Kombe la Mapinduzi Wachezaji wa Yanga wamelazimika kupambana hadi dakika ya mwisho na kufanikiwa kupata sare ya 1-1, dhidi ya Singida United ukiwa ni mchezo wa mwisho wa michuano ya Kombe la Mapinduzi uliopigwa uwanja wa Amaan Zanzibar. Matokeo ...

Read More »

YANGA YAICHARAZA MLANDEGE 2-1

Yanga imeanza vyema michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mlandege katika mchezo wa kundi B, uliopigwa uwanja wa Amaan Zanzibar. Ushindi wa Yanga umepunguza kasi ya Mlandege ambayo ndiyo vinara wa kundi hilo wakiwa na pointi zao sita, na Yanga wanapanda hadi nafasi ya pili wakiwa na pointi tatu mabao mawili ya ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons