ACT Wazalendo wamtaka Museveni amuachie ‘Bobi Wine’

Chama cha ACT-Wazalendo kimemuandikia barua ya wazi Rais wa Uganda, Yoweri Museveni kikimtaka amuachie Mbunge Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) na wabunge wengine wanaoshikiliwa na Polisi. Kimemtaka Rais Museveni kuweka mbele haki za binadamu kuliko maslahi yake yanayohusiana na siasa na kuwa yeye kama kiongozi mkongwe anatakiwa kuonesha Demokrasia kubwa. ACT-Wazalendo kimesema wabunge hao wanatakiwa kuachiwa…

Read More

ZITTO KABWE AENDELEA KUSOTA RUMANDE, KWA TUHUMA ZA KUFANYA MKUTANO BILA KIBALI

Kiongozi Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe anaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Morogoro baada ya kukosa dhamana. Kiongozi huyo anashikiliwa tangu jana alipokamatwa kwa kufanya mkusanyiko bila kibali. Zitto alikamatwa katika Kata ya Kikeo iliyopo wilayani Mvomero na alitarajiwa kuhojiwa katika Kituo Kikuu cha Polisi Dakawa lakini akahamishiwa Morogoro Mjini. Tangu jana saa…

Read More

ZITTO KABWE AWATAKA CHADMA KUSITISHA KAMPENI JIMBO LA KINONDONI

Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kupitia kwnyw kurasa wake Twitter amewataka CHADEMA kusitisha kampeni za Ubunge Jimbo la Kinondoni kwa heshima ya Mzee Kingunge Ngombali Mwiru aliyefariki juzi hospital ya Muhimbili alipolazwa baada ya kung’atwa na Mbwa wake. Zitto Kabwe amesema CHADEMA wanapaswa kusitisha Kampeni mpaka Mzee huyo atakapozikwa, mzee Kingunge alikuwa na mwanachama…

Read More

ZITTO KABWE AANIKA MALI ZAKE MTANDAONI

Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe leo ameweka taarifa za mali zake zote zikiwemo, madeni anayodaiwa, mshahara na mali alizonazo kwa mwaka 2016, kama sheria inavyoagiza viongozi wa umma. Zitto pia ametoa rai kuwa ni vyema Daftari la Rasilimali na Madeni la Viongozi wa Umma likawekwa wazi mitandaoni kwa ajili ya umma ili kufahamu kila…

Read More