Mama mzazi wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu (CHADEMA), amefariki dunia jana Jumapili Agosti 26, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), alikokuwa akipatiwa matibabu.

Uongozi wa Jamhurimedia unatoa pole kwa mbunge Sugu pamoja na Familia yake, Mungu hawaongoze kwenye kipindi hiki Kigumu.

 

1040 Total Views 2 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!