Udokozi unatuangusha Watanzania

Udokozi unatuangusha Watanzania

Nimemwona na kumsikia Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Jerry Muro, wa kigeni akiendesha mtambo kwenye ujenzi wa barabara moja wil
Muro, anasema si sahihi kwa mgeni kufanya kazi hiyo ilhali wapo W
wenye sifa na ujuzi.
Amenikumbusha kisa fulani cha raia wa China waliowapiga vibarua
baada ya kuibiwa mafuta kwenye malori.
Naungana na Muro kwamba zipo kazi nyingi zinazopaswa kufanyw
sasa zimeshikwa na wageni. Nasikitika kwa sababu naona ndugu z
lakini tukiingia kwenye undani wa ukweli wa mambo tutakubaliana n
baadhi ya Watanzania kuwa si sahihi.
Muro, namfahamu vizuri katika taaluma ya habari. Amebobea kwen
uchunguzi. Wengi wanatambua kazi zake zilizotukuka. Sidhani uam
kushitukiza ameufanya bila kujua sababu za hao wajenzi wageni ku
zinazopaswa kufanywa na Watanzania.
Kuna kitu fulani tunapaswa kukubaliana hata kama hatukipendi san
bali ni ukweli kuwa baadhi ya Watanzania tuna tabia mbaya ya uda
uaminifu, udhuru uliopitiliza, na kibaya zaidi udokozi.
Nimepata kuandika mara kadhaa mambo haya tena baada ya kuzu
makandarasi. Kwenye ujenzi kuna udokozi uliopitiliza. Kuna wizi wa
vitendea kazi na kila ambacho kinaweza kupata mnunuzi. Wajenzi wa barabara wamekuwa wakikumbana na wizi huo kiasi ch
wakati mwingine kuwafanya waonekane watu katili.
Ninao mfano hai ambao pengine si vizuri sana kuutaja hapa, lakini
yangu, naomba mniwie radhi niueleze. Wakati wa kujengwa kwa mradi wa Mabasi ya Mwendokasi, Waziri
huo alikuwa Dk. John Magufuli. Mara kadhaa kwenye saiti na hata
tabia ya wizi wa vifaa unaofanywa na Watanzania. Akasema Watan
mafuta na vifaa vingine wanaoumia si hao makandarasi, bali ni Wat
Kwa kutambua kuwa nchi hii itajengwa na Watanzania wenyewe, s
Barabara ya Morogoro na Samora, nikapiga picha genge la wezi wa
wa mabasi. Walikuwa na mkokoteni. Wakaingia saiti na kuchukua n
walivyoweza. Walipokaribia benki ya NBC Tawi la Samora, akawap
bunduki. Akawafuata. Kilichoendelea hapo ni mazungumzo, kisha y

alichopewa, wale jamaa wakaondoka. Lilikuwa tukio la aibu, maana
Nilimweleza waziri, na mara moja akawaagiza wasaidizi wake. Kwa
wa waziri bila shaka msomaji unaweza kujua kilichofuata. Sitaki kue
Najaribu kuonyesha kuwa tuna kasoro kubwa ya uadilifu. Siwatetei
wilayani Arumeru, lakini nadhani Muro angepata muda wa kuwauliz
kwanini wamefikia hatua ya kuendesha mitambo wao wenyewe.
Yawezekana kabisa wanafanya hivyo baada ya, ama kazi kuharibiw
mafuta na vifaa vingine.
Inawezekana wakawa wamechukua hatua hiyo baada ya kila siku d
‘kufiwa’ au ‘kuuguliwa.’ Hapa ni vizuri tukatambua kuwa kazi hizi za
Mikataba inataka kazi fulani ikamilike ndani ya muda fulani. Katika m
hakuna Mchina anayeweza kukubali kuwa na mfanyakazi ambaye k
kuomba ruhusa tu.
Sababu nyingine inaweza kuwa ukosefu wa ari ya kazi. Tunao baad
ambao wakati wa kuomba kazi ni waungwana kweli kweli. Shida hu
wameshapata kazi. Wanaomba kazi wakishatambua kima cha msh
yote. Wanaomba kazi wakiwa wanajua muda wa kuingia na kutoka
huomba kazi wakijua kila kitu. Sarakasi huanza baada ya kuwa wam
ndipo malalamiko ya kiwango cha mishahara huanza. Hapo ndipo m
kufanyishwa kazi muda mrefu huanza. Wakishapata kazi ndipo kuu
kana kwamba hao binadamu walisubiri apate kazi ndipo waanze ku
kwa Mtanzania huanza baada ya kazi, lakini si pale anapokuwa aki
kuomba kazi.
Tabia za namna hiyo haziko kwenye ujenzi pekee. Zimeenea hadi k
mighahawa. Udokozi wa vifaa hotelini ni jambo la kawaida mno kwa
Watanzania.
Mtu akishaajiriwa hotelini, basi hudhani ni haki yake sasa kutonunu
nyama, nyanya, vitunguu au mahitaji mengine madogo madogo. Mt
kwenye mghahawa hudhani amepata haki ya kurejea nyumbani aki
vinywaji, mikate na kila kinachoweza kubebeka.
Si hivyo tu, hata huduma za baadhi ya Watanzania katika maeneo
Mwaka fulani nilikuwa na rafiki yangu mmoja – mkubwa serikalini. T
moja ya kitalii Dar es Salaam. Tukahudumiwa vema, lakini ghafla w
wenye rangi nyeupe, wale wahudumu wakatuacha. Tulipohoji, mhu
kama mmelewa ondokeni! Fikiria, watu tuna mazungumzo mazito, t
lakini tunajibiwa kihuni namna hiyo!
Haishangazi leo kuwaona wawekezaji wengi wakipenda kuwaajiri ra
Wakenya au Wahindi. Mhudumu wa Kenya ana tofauti kubwa mno
Mtanzania. Huo ndio ukweli hata kama tunajifariji kwa kulalama. Wa
wetu kwenye sekta hii ni lugha kama tunavyosingizia. Siamini hata
mataifa mbalimbali na kukutana na wahudumu tunaogongana lugha

tumeweza hata kutumia lugha za ishara kupata huduma nzuri.
Kwa kuyakumbuka haya matukio, ndiyo maana namshauri Mheshim
tujaribu kuketi na kuuainisha udhaifu wetu Watanzania. Tuukiri kwa
Tusiwe wepesi wa kulalamika tu. Tujiulize, je, tu waadilifu vya kutos
tunajituma kufanya kazi kwa nguvu na akili zetu zote? Tujitafakari, m
kuomba na kupewa ruhusa za udhuru? Tujitafakari, tabia zetu za ud
au kutuangusha kwenye ushindani wa soko la ajira? Tujiulize, tunao
kutosha kwa kazi tunazoajiriwa kuzifanya? Tujitathmini muda gani t
badala ya kufanya kazi?
Kabla sijahitimisha, ni vizuri pia nikagusia suala la wizi wa mafuta u
magenge ya madereva na Watanzania wanaoishi kando ya baraba
Kwenye Ranchi ya Kongwa mkoani Dodoma, kuna magenge meng
kwa ajili ya uhalifu huo. Kijiji fulani kipo jirani na Igunga mkoani Tab
kimejengwa kwa mafuta ya wizi. Ukipita pale wala huhitaji kuuliza. U
wizi wa mafuta kwenye malori.
Kuita vitendo vile kuwa ni ‘wizi’ pengine ni kupunguza makali ya ukw
uhujumu uchumi. Barabara zote kuanzia Dar es Salaam hadi Mwan
– kila mahali ni wizi wa mafuta kwenye malori. Mataifa mengi yanay
upuuzi huu. Hapa kwetu tunao polisi kila wilaya. Tuna polisi kila mk
wanaohangaika kuwakamata wahujumu hawa. Sijui, lakini nani ana
hawana mgawo kwenye matunda ya dhambi hii?
Malori yanayosafirisha mafuta nje ya nchi yamekuwa yakiibwa mafu
zinaripotiwa. Wafanyabiashara wanaotumia bandari zetu wanaumia
kufanya maana polisi hawachukui hatua zozote. Endapo kutatokea
kusafirisha mafuta kwa kuwatumia watu na bandari za mataifa men
watakuja Tanzania. Sisi sifa yetu mojawapo kubwa kwa majirani ze
ya Beira, Msumbiji ikikamilika vizuri sidhani kama Zambia au Malaw
kwetu.
Swali la kujiuliza, je, tumeshindwa kuwadhibiti wahujumu uchumi ha
vipi kukamata wamiliki wa visima vya mafuta ya wizi maeneo ya Mu
kwingineko?
Mheshimiwa Muro, nayasema haya si kwa sababu naunga mkono w
Watanzania ajira, bali nafanya hivi kukoleza mjadala wa kututafaka
tunakosea.
Tusipobadilika kwa kuacha udokozi; na pia kuanza kupenda na kufa
maisha yetu yatakuwa ya kulalama tu. Tutaendelea kulia ajira zetu
wageni.
Kama Mererani inalindwa na wanajeshi na magari ya delaya ili kudh
wa tanzanite – fikiria mkandarasi asiyeruhusiwa kuwa hata na rungu
Tujisahihishe.

…tamati…

691 Total Views 1 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!

Comments

comments

Show Buttons
Hide Buttons