Waraka wa wanafunzi elimu ya juu nchini (1)

Walioshiriki kuuandika ni:

*Mastawily Faham – Mwenyekiti Kamati, UDSM
*Debora Gabriel – Rais wa Chuo Kikuu cha Dodoma
*Musa Ndile -Waziri Mkuu Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha IFM
*Mboya James – Katibu katika Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha IFM
*Daniel Naftal – Waziri wa Mikopo UDSM
*Mruta Jurius – Waziri wa Elimu UDSM mwaka 2009/2010
*Lusapi Yudah – Mwakilishi Kamati ya Mikopo Chuo Kikuu cha Arusha
*Makuli – Waziri Mkuu mstaafu Serikali ya Wanafunzi UDSM
*Rwezaula Robert – Waziri Mkuu Serikali ya Wanafunzi, St. John, Tawi la Dar es Salaam
*Bichwa Saul – Waziri Serikali ya Wanafunzi DUCE
*Ismail Mvungi – Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Ardhi
*Salum – Makamu wa Rais Serikali ya Wanafunzi, Chuo Kikuu cha Tiba Muhimbili
*Omari na Rankim Ramadhan (Wadau wa Elimu nchini)
*Hussein Sungura na Amini Rashid – Wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha St. Augustine Mwanza
*Mugata Geofrey, Rugemarila Frank na Selengia George – Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere
*Hussein Rashid – Mwanafunzi Chuo Kikuu cha Tiba IMTU
*Richard John na Sadru Mohammed – Wanafunzi wa Chuo Kikuu chaTtiba Bugando
*Othman Mrisha na Kuluthum Uledi – Wanafunzi Chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro