Polisi wamtapeli kachero mstaafu
Maofisa wa Jeshi la Polisi nchini wasio waaminifu wamekula njama na kumwingiza matatani kachero mstaafu, Thomas Njama, ambaye kwa michezo yao ameshindwa kulipwa mafao yake Sh 47,162,559 tangu mwaka 2015, JAMHURI linathibitisha. Njama anapigwa danadana kama ‘kibaka’ wakati amelitumikia Jeshi la Polisi kwa miaka 37 na amekuwa mwanachama wa uliokuwa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi…